Vijana katika eneo bunge la Mumias Magharibi wakiongozwa na Geofrey Makokha wamemtaka kinara wa ANC Musalia Mudavadi na mwenzake wa Ford Kenya Moses Wetangula kuwahusisha vijana katika safari yao ya kutafuta uongozi wa taifa hili

 Wakiongea eneo la Musanda wamepongeza kazi iliyofanywa na vijana kuhakikisha ushindi katika eneo la Matungu na wanamtaka mMudavadi na Wetangula kuwajumuisha vijana katika mikakati ya kutafuta uongozi

 Makokha amewahimiza vijana kujisajili kama wapiga kura kwa wingi na wahakikishe wanachangia katika uchaguzi wa viongozi bora 

Makokha pia amewataka polisi kuchunguza na kuwachukulia hatua wahusika wa ghasia katika uchaguzi

Story by James Shitemi


Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE