Wakaazi wa lokesheni ndogo ya Buyangu wamehimizwa kuzingatia sheria na masharti ya kudhibiti virusi vya corona  ili kuzuia msambao wa virusi hivyo kwenye sherehe zikiwemo za mazishi

Ni kauli yake naibu wa chifu kwenye lokesheni ndogo ya Buyangu Catherine Nelima akihutubia waombolezaji kwenye ibaada ya maombi na mazishi ya mama Deborah Indakuli Witundu katika kijiji cha Bukhaywa mapema hii leo

Catherine ametilia mkazo maagizo yaliyotolewa mapema juma hili na gavana wa kaunti ya Kakamega Wycliffe Oparanya na kusema miili ya wafu itazikwa siku hiyo inayotolewa kwenye chumba cha wafu

Wakati uo huo amewataka wazazi kuwachunga wanao vyema kwa muda wa juma moja wanalofunga shule.

Catherine amewataka wazazi pia kuajibika kwa wanafunzi wa gredi ya nne na nane ambao wamekuwa nyumbani kwa muda mrefu na kuwataka wazazi kuwapeleka wanafunzi hao shuleni wakati shule zitafunguliwa akisema swala la elimu amelipa kipaumbele kwenye uongozi wake

Wakati uo huo kama njia moja ya kusaidia serikali kutekeleza masharti hayo ya kudhibiti mkusanyiko wa wanainchi

Sajida Javan

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE