Serikali za kaunti na ile ya kitaifa zinaombwa kuingilia kati na kuwasaidia akina mama wajane ambao hwajiwezi katika jimii haswa wakati huu mgumu wa janga la covid 19.

Wakizungumza na waandishi wa habari katika hafla moja  ya kuwapea akina mama wajane vyakula na vitu vingene vya matumizi katika kanisa la King Jesus mjini Bungoma,mashabiki wa kike wa  timu ya Arsenali na Manchester wakiongozwa na wasimamizi wao Jecinta Akinyi na purity Naomi, wametoa wito kwa serikali kuingilia kati ili kuwasaidia akina mama wajane.

Aidha purity Naomi ameongezea kuwa wao kama mashabiki wa timu hizo mbili wameonelea vyema kuwasaidia akina mama hao, haswa wakati huu ambao uchumi na hali ya maisha imekuwa juu sana.

B y Hillary Karungani

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE