Lubao FM | 102.2 Hz

Month: December 2022

Governor meets Chamber Officials

The Kakamega Chamber (KNCCI) board meets their Governor on the Welfare of the Business Community in the County.

The Kenya National Chamber of Commerce and Industry (KNCCI) – Kakamega Chapter on Wednesday had a discussion with H.E FCPA Fernandez Barasa on the state of businesses in Kakamega in preparation for the Kakamega Business Breakfast coming next week on 14th December 2022. Key among the issues discussed is making Kakamega an Investor-friendly County, and …

The Kakamega Chamber (KNCCI) board meets their Governor on the Welfare of the Business Community in the County. Read More »

Gavana Barasa Kuendeleza Ushirikiano na Serikali Kuu

Gavana wa kaunti ya Kakamega Fernandes Barasa ameshikilia msimamo wake wa kushirikiana na serikali kuu ya Rais William Ruto licha ya kuwa katika mrengo wa upinzani azimio Ameyasema hayo baada ya kuhudhuria ibaada ya jumapili katika kanisa la Church Of God Mwihila wadi ya Kisa Kaskazini eneo Bunge la Khwisero  Barasa amesema kuwa Rais William …

Gavana Barasa Kuendeleza Ushirikiano na Serikali Kuu Read More »

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE