MAHAKAMA KUJENGWA LIKUYANI NA LUGARI
Ni afueni kwa wakazi wa kaskazini mwa kaunti ya Kakamega haswa wa eneo bunge la Likuyani na Lugari baada ya tume ya huduma kwa mahakama nchini kwa ushirikiano na serikali ya kaunti ya kakamega kukubali kujenga mahakama eneo bunge la likuyani kama njia moja ya kuwasaidia wakaazi ambao wamekuwa wakisafiri mwendo mrefu kutafuta huduma hiyo …