Uchungu wa jino ni adhabu ya aina yake wakikusimulia wale ambao wamepatwa na tatizo hilo, dawa za kila aina zipo madukani kudhibiti maumivu yake huku madakitari wakitumia matibabu maalum ikiwemo kuling’oa jino lililosumbua kwa muda mrefu. Lakini zipo mbinu mbalimbali za kienyeji za kueneza matibabu ya jino linalouma kwanza kabisa ni kwa kutumia tunguja au sodom apple kwa lugha ya kiingereza inayotumiwa na wengi, musa ni kijana mwenye ujuzi wa matibabu ya jino kwa njia ya kienyeji.

Lakini sio tunguja tu, miti shamba ya aina husika pia hutumika katika matibabu ya jino ikiwemo mafuta taa kwa weledi na ujuzi maalumu ambayo anaitambua yeye kupitia mafunzo yake. Aidha alizidi kuelezea sababu ya kutumia mafuta taa na manufaa yake katika hatua hii ya matibabu ya jino.

Hata hivyo matibabu hayakamiliki na hapo, magome ya miti aina ya mikanji na mwembe pia hutumika katika hatua hii ya matibabu kwa njia hii

Siha njema maisha mema, ni vyema kuzingatia afya kwa ujumla kwa manufaa ya maisha ya kibinafsi.

Na Keedah Odhiambo

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE