Mama mmoja na wanawe watano wamepata afueni baada ya kujengewa nyumba na wakazi kwa ushirikiano na mhisani Francis Omukoto katika kijiji cha Emaholia kisa kaskazini eneo bunge la Khwsero
Mama huyo Carolyn Namai amekuwa akiishi kwa nyumba ya nyasi ambayo inavuja huku akihofia usalama wake na wanawe
Mhisani huyo Francis Omukoto amewasuta viongozi kwa kutozingatia masilahi ya wananchi huku akiahidi kuendeleza mradi huo ambao unalenga kuwasaidia wakazi kupata makao bora
By Lindah Adhiambo