Viongozi wa kidini wamehimizwa kushirikiana na mashirika ya kijamii kuwahamasisha wakazi umhimu wa kushirikiana kuendeleza maswala ya elimu kama njia ya kuinua jamii
Akiongea kwenye harambee ya kumsaidia mwanafunzi eneo la Elukho Butsotso Mashariki mchungaji Francis Juma wa kanisa la Shikangania PAG amesema inasikitisha watu kuweka uzito kwa michango ya marehemu kuliko uhai
mwanafunzi Celestine Atira ambaye amekawia kufuzu katika chuo kikuu cha Masinde Muliro tangu mwaka 2019 ameelezea furaha yake
By Lindah Adhiambo