Utathmini wa masomo ya wanafunzi wa mtalaa mpya wa CBC unatarajiwa kuanza kote nchini ikiwemo wanafunzi wa daraja la 3 na 5.Shughuli ambayo iling’oa nanga tarehe 31january na kutarajiwa kukamilika tarehe 4 mwezi February.

Aidha kila shule inahitajika kupata vifaa hivyo vya matumizi katika tuvuti ya bodi inayosimamia mitihani ya kitaifa kote nchini (KNEC).

Kando na hayo,baadhi ya shule zimeonyesha kupata changamoto katika shughuli hiyo kwa kulalamikia ukosefu wa data na hela. 

Mary Ariel.

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE