Wafanyi biashara reja reja Katika soko la Lubao Kaunti ya Kakamega wanalalamikia hali ngumu ya maisha kwa kukosa wateja wa kununua bidhaa zao
Katika mahojiano ya moja kwa moja na kituo hiki Benson Anadokeza kuwa tangia Asubui hakuna mteja yoyote ambaye amemjia kwa minajili ya kununua bidhaa anayouza
Vile vile ametao wito kwa serkali Kuingilia Kati na kushusha bei ya mafuta ambayo inapanda kila uchao ili kuimarisha sekta ya Usafiri humu nchini
By Samson Nyongesa