Hali ya huzuni imetanda katika eneo la Mikindani Mombasa county ambapo kijana wa miaka kumi na saba kumdunga baba yake na kisu baada ya yeye kugombana na mke wake.


Kulingana na ripoti ya polisi kuhusu kisa hichi. Kijana huyu ambaye ni mwanafunzi katika shule ya msingi ya Kajembe alichukua visu viwili kutoka chumbani mwao na kumdunga baba wa kambo sehemu tofauti tofauti tumboni, kifuani na usoni na kupotea pasipojulikana yuko wapi.


Mwili ya marehemu ilikimbizwa Mikindani Medical Center alipogunduliwa kuwa ameshahaga duniani wakati alipowasili.Kisa hiki kiliripotiwa na mama yake kijana huyo.
‘Juhudi za kuwaeleza mshukiwa inaendelea’’,polisi anasema.
Mwili ya marehemu inahifadhiwa katika hospitali kuu ya Coast General Hospital.
BY WINNIE AKINYI

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE