Klabu za Everton na Leeds United zinamuwania beki wa kushoto wa Real Madrid, Marcelo, Mbrazil huyo mwenye umri wa miaka 33, ambaye hayuko kwenye mipango ya kocha wa Madrid, Carlo Ancelotti
Hayo yakijiri Leicester City inungana na vilabu vya Liverpool, Chelsea na Tottenham katika mbio za kumsajili mshambuliaji raia wa Zambia, anayecheze RB Salzburg, Patson Daka mwenye umri wa miaka 33
Na Tottenham inapigana vikumbo na klabu ya Fiorentina kumuwania mshambuliaji wa Muargentina wa klabu ya Stuttgart, Nico Gonzalez, mwenye umri wa miaka tayari klabu hiyo ya Fiorentina ya Seria A, imeshatenga dau la £21.5m
By Samson Nyongesa