Visa vipya vya maambukizi ya Covid-19 nchini ni 945 na kufikisha jumla ya visa 201, 954 vya mambukizi.

Visa hivyo vipya ni kutoka kwa sampuli 7,295 zilizo pimwa chini ya saa ishirini na nne zilizo pita na kiwango cha maambukizi kikiwa aslimia 13.0%

Maambukizi hayo mapya wakenya ni 910 ilhali 35 ni raia wa nchi za kigeni.

watu 481 katika maambukizi ni wanaume na 364 wakiwa wanawake.

watu kumi na sita wamwaga dunia kutokana na covid 19 na kufikisha idadi ya 3,926

Jumla ya Idadi ya walio pona nikwa sasa nchini ni 188,438 na chini ya masaa 24 zilizo pita wakiwa 216.

Jumla ya walio pokea chanjo ya korona ikiwa 1,712,550.

By Lihavi Imelda

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE