Maafisa wa polisi mjini Kakamega wamefanikiwa kunasa mshukiwa mmoja wa mauwaji ya mwanafunzi wa mwaka wa tatu aliyeuawa baada ya kubakwa na kisha mwili wake kutupwa mita chache kutoka kwenye nyumbayake mataa wa Kefingo Kakamega
OCPD wa Kakamega David Kabena Amehoji kuwa msukiwa wa miaka 22 ambaye ni mwanafunzi chuoni humo alitiwa mbaroni akiwa mafichoni mtaa wa Luanda Shop Baada ya polisi kutumia mtandao wa Simu.


Kabena amesema mshukiwa anadaiwa kuonekana na mwendazake kwa mara ya mwisho kabla ya kifo chake na sasa anasaidia maafisa wa polisi kwa uchunguzi
By Linda Adhiambo

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE