Hali ya majonzi imetanda katika kijiji cha Ishisembe Kata ya Muranda eneo la Shinyalu Kaunti ya Kakamega baada ya mwili wa mwanamke mmoja wa miaka 53 kupatikana umetupwa kwenye mto Ishaviranga baada ya kudaiwa kunajisiwa.

Wenyeji wakiongozwa na Ben Luvayi wanasema mwili wa mwendazake ulipatikana na watoto Waliokuwa wakichunga mifugo eneo hilo baada ya kuona nguo zilizokuwa kando kando mwa mto huo.Wanadai mwili wa marehemu Mary Wilumila mama wa mtoto mmoja ulipatikana bila nguo za ndani ukionekana kuwa na majeraha sehemu zake za Siri.

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE