Lubao FM | 102.2 Hz

  • http://41.90.240.222:88/broadwave.mp3?src=1&rate=1&ref=
  • Streaming Live

Vurugu zazuka Mumias kufwatia kukamatwa kwa Malala

Taswira kamili ya mij wa Mumias baada ya Vijana wenye ghadhabu kuwasha Moto Kwa kutumia tairi za gari na kuziba barabara zote zinazoingia mjini humo wakilalamikia kukamatwa Kwa seneta Cleophas Malala ambaye alikamatwa Jumatatu na kuzuiliwa kwenye kituo cha polisi cha Mumias.

Hata hivyo maafisa wa polisi walitumia vitoa machosi na kutawanya waandamanaji hao.

Rais wa LSK Nelson Havi akiandamana na wawakili wenzake waliwasili kwenye kituo hicho kabla ya Malala kuachiliwa.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *