Viongozi wa kaunti ya Kakamega wameombwa kukisaidia chama cha Victory Helpcare Group katika kuendeleza miradi yao. Akizungumza na kituo hiki katika wadi ya Butali Chegulo, kaunti ndogo ya Malava, kaunti ya Kakamega, mwenyekiti wa chama hiki, mama Diana Pilishi amewataka wafadhili haswa viongozi kuwasaidia katika miradi yao ya kununua tinga tinga la kusaga mahindi.

Naye Rufus Juma ambaye ni mwanachama alizungumzia changamoto zinazowakabili katika chama.

Kwa upande wake Timothy Wanami alirahi naibu gavana Philip Kutima kujukumika ili kuhakikisha chama hicho kimenawiri.

By Mary Owano

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE