Kongamano la makanisa ya pentecosti nchini likiongozwa na rais wake ambaye ni Stanley Michuki limeshtumu mapigano hayo
Michuki ameonyesha kutamaushswa na hali ilivyo eneo hilo ikizingatiwa kuwa Kenya ni taifa ambalo limeshuhudia changamoto zikiwemo njaa, gonjwa la corona na hata machafuko baada ya Uchaguzi kadhaa Uliyopita
By James Nadwa