Baadhi ya vyongozi wa Chama Cha ODM Kanda ya Mumias Mashariki sasa wanatishia kupinga BBI iwapo bei ya mafuta itasalia jinsi ilivyo
Wakiongozwa na mwakilishi wadi wa East Wanga Zaid Oten’go Shabaan vyongozi hao wameonyesha kutoridhishwa na namna serikali inavyoshugulikia swala Hilo
Oten’go amehoji kuwa BBI inaashiria mzigo kwa mkenya wa kawaida
Alikuwa Akizungumza haya shuleni Mung’ang’a kwenye msururu wa ziara zake katika shule zote za Wadi ya East Wanga alipotoa chakula na vifaa vingine kwa watainiwa wanaotarajiwa kuanza mtiani wao leo hii
By James Nadwa