Muungano kati ya Mudavadi, Wetangula, Kalonzo pamoja na mwenyekiti wa Kanu Gideon Moi hauna uhusiano wowote na deep state
Baadhi ya wafwasi wa muungano huo Sokoni Makunga wilayani Navakholo wakiongozwa na Ben Shibona wanadai kuwa hizo ni propaganda za wapinzani wa muungano huo ambao kwa sasa wameingiwa na hofu
Shibona aidha ametilia shaka masharti mapya alotoa rais hivi maajuzi ikitiliwa mkazo kuwa yalikuja pindi tu baada ya kuwasili kwa chanjo dhidi ya virusi vya Corona
By James Nadwa