Wataalam wa dawa za kiasili Sasa wanataka kujumuishwa kwenye vita dhidi ya ugonjwa wa Corona
Wakizungumza na idhaa hii kupitia kwa mwenyekiti wa muungano huo wilayani Navakholo George Kanoti Simiyu wataalam hao wanaisuta serikali kwa kuwapuuza Jambo linalofanya ugonjwa huo kuenea hata zaidi
Matabibu hao wamehoji kuwa dawa asilia zina nguvu za kupunguza makali na hata kuponya ugonjwa huo
Wataalam hao wanaitaka serikali kuwahusisha kwenye vita hivyo bila masharti yeyote
Haya yanajiri huku wimbi la tatu la maambukizi likishuhudiwa Jambo lililomfanya rais kutoa masharti mapya ya kudhibiti msambao wa virusi hivyo ikiwemo kufungwa kwa kaunti kahdaa zikiwa ni pamoja na Nairobi, Kajiado, Nakuru na Embu
By James Nadwa