Wasimamizi wa mitaa na vijiji wilayani Mumias Mashariki wanaitaka serikali kutoa msaada wa vyakula kwa wakaazi wakati huu mgumu wa gonjwa la Corona
Wakiongozwa na Ongweko Manya msimamizi wa mtaa wa Chibulu lokesheni ya Khaunga wasimamizi hao wanasikitikia matatizo wanayopitia wakaazi kunapozidi kushuhudiwa makali ya ugonjwa huo
Ongweko ameonyesha kutoridhika na jinsi walovyotengwa kwenye mchakato mzima wa kudhibiti msambao wa virusi hivyo
By James Nadwa