Wazazi wametakiwa kuwajibikia malezi ya watoto  kukabili changamoto ya visa vya uhalifu vinavyoendelezwa na vijana wa umri mdogo

Akiongea kwenye hafla ya kuwekea wakfu mtoto wa askofu Odongo Swati katika eneo la Tumaini kata ndogo ya Ematiha eneo la Navakholo, askofu Makeyi Otisa wa New Call Pentecostal Church amesema wengi wa wazazi wamechangia utovu wa nidhamu kwa kutowaelekeza watoto kanisani 

Familia ya askofu Odongo ilikuwa na shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa zawadi ya mtoto huku wakihimiza wazazi wa kisasa  kuendeleza uzao bila kujiweka kwa kupanga uzazi

 By Linda Adhiambo

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE