Wananchi wa kata ndogo ya Bunyala Mashariki wanaimizwa kupeleka watoto wao shuleni na kukoma kutoa visababu vidogo vidogo.


Akihutubia wazazi na wanafunzi katika shule ya Butonga, naibu chifu wa Bunyala Magharibi, Navakholo Peter Nabiswa amewaomba wazazi kujitokeza kwa wingi kwa shugli ya kuandikisha vyeti vya kuzaliwa nya wanafunzi na ili hiyo isiwe sababu ya kuwatuma watoto nyumbani wakati wa kujiandikisha kwa mitihani ya kitaifa


vile vile, bw. Nabiswa amewaomba wazazi na walimu kushirikiana kwa karibu kuhakikisha kua wanafunzi wote wanasalia
shuleni licha ya kuwepo kwa matatizo ya kifedha na nyingine za kinyumbani. Ameongeza kua kupitia ofisi yake amejitahidi na kuhakikisha kua wanafunzi wameingia shuleni.

By Imelda Lihavi

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE