Mkulima mmoja eneo la Ejinja kaunti ndogo ya Matungu kaunti ya Kakamega anakadiria hasara ya zaidi ya shilingi laki mbili baada ya watu wasiojulikana kupea ng’ombe wake wawili wa maziwa sumu na kupatikana wakiwa wamefariki
Wakazi wakiongozwa naJjoseph Okoth wamekashifu tukio hilo ambalo lilimkumba mzee Arnold Barasa na wanaitaka serikali kuchunguza kisa hicho ambacho wanahusisha na siasa za uchaguzi mdogo ambazo zimechaha eneo hilo la Matungu
Story by Boaz Shitemi