Pana haja ya kinamama kujiunga na vyama kama njia pekee ya kujiinua kimaisha
Akizungumza mtaani Nyapora eneobunge la Mumias West Mwakilishi wadi wa Emusanda Paul Wanda amesema kuwa hili litawawezesha kupata mikopo hvyo kujitegemea kimaisha
Kuhusu swala la wanasiasa vyongozi kutakiwa kuwa na shahada ndiposa wawanie viti mbalimbali mwakilishiwadi huyo aliridhia swala hilo akisema kuwa hii itahimarisha uongozi haswa mashinani
Wanda aidha amesifia bajeti ya hivi maajuzi ilopitishwa na serikali ya kaunti ya Kakamega akisema kuwa itamfaa pakubwa mkaazi huku akikanusha kuwa ilipitishwa kwenye mazingira tatanishi
By James Nadwa