LUBAO FREQUENCY MODULATION LIMITED

Uniting Communities
  1. Listen to Lubao FM Live 102.2 FM

Live now:

Up next:

Beki wa Guinea Ali Camara kuzivutia klabu kadhaa za Ligi ya Primia

Manchester City waliwachabanga Tottenham bao moja kwa yai na kulitwaa kombe la EFL Karabao Ugani Wembley

Huku Chelsea wapo mbele ya Manchester United na Paris St-Germain katika mbio za kutaka kumsajili beki wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa Raphael Varane mwenye umri 28.

Hayo yakijiri Beki wa Guinea Ali Camara mwenye umri wa miaka  23, ambaye anachezea klabu ya Young Boys ya Switzerland, amezivutia klabu kadhaa za Ligi ya Primia zikiwemo Liverpool, Arsenal, Crystal Palace, West Ham United na Norwich. 

Na Kule Emmirates

Arsenal wapo njia panda juu ya mustakabali wa kiungo wao joe willock mwenye umri wa miaka 21, ambaye yupo newcastle kwa mkopo. Arsenal wanahitaji kuuza baadhi ya wachezaji ili kujiimarisha kifedha. 

By Samson Nyongesa

Charles Oduor

Read Previous

Himizo kwa wenyeji wa kaunti ya Kakamega kuzingatia masharti ya corona

Read Next

Mimba za mapema eneobunge la Khwisero kaunti ya Kakamega

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *