Matumaini ya Manchester United kumsajil mshambuliaji wa England Jadon Sancho mwenye umri wa miaka 21, kutoka Borussia Dortmund huenda yamepata nguvu mpya kutokana na taarifa kwamba naibu mwenyekiti Ed Woodward anatarajiwa kuondoka  klabu hiyo ya The Red Devals

Hayo yakijiri West Ham wameungana na Barcelona, Bayern Munich na Tottenham katika kinyang’anyiro cha kumsaka beki wa Norwich City na England wa chini ya miaka -21 Max Aarons, huku klabu hiyo ya Ligi ya Premia ikisemekana kuitisha angalau paundi milioni 30

Huku Burnley wanataka kumsaini kiungo wa kati wa Algeria Nabil Bentaleb kutoka Schalke msimu huu wa joto, ijapokuwa mchezaji huyuo aliye na umri wa miaka 26- ambaye huenda akasalia bila timu hatarajiwi kusaini mkataba mpya katika klabu hiyo ya Ujerumani. 

By Samson Nyongesa

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE