Huku Eliud Kipchoge akizidi kung’aaa katika mbio za NN na kuwakilisha Nchi ya Kenya Mazungumzo kati ya mshambuliaji wa Barcelona na Ufaransa Ousmane Dembele kuhusu mkataba mpya yanaendelea, huku mkataba wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23-ukitarajiwa kumalizika mwaka 2022.

Huku Kocha wa Paris St-Germain Mauricio Pochettino ana matumaini mshambuliaji wa Ufaransa Kylian Mbappe mwenye umri wa miaka22, atakubali kufikia mkataba mpya na klabu hiyo.

Hayo yakijiri Leicester city hapo jana ilijikatia tikiti ya kuingia kwenye fainali la kombe la FA baada ya kum bandua Southampton kwa bao moja sufuri Huku fainali ikitarajiwa na timu ya Chelsea pamoja  na Leicester city

Kando na hayo Alexandre Lacazette amesema uamuzi kuhusu mkataba mpya na Arsenal sio wangu pekee, wakati mkataba wa sasa wa mshambuliaji huyo wa Ufaransa aliye na umri wa miaka 29- ukitarajiwa kukamilika mwaka 2022.

By Samson Nyongesa

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE