by Imelda Lihavi

Watu wanne wapatikana na virusi vya korona katika ikulu ya kenya Nairobi. Kulingana na msemaji wa ikulu kanze dena, wanne hao walifahamika wakati vipimo vya jumla vilifanyika siku ya alhamisi 11.6.2020.Walioambukizwa wamelazwa katika hospitali ya chuo kikuu cha Kenyatta katika kaunti ya Kiambu kwa matibabu na uchunguzi Zaidi.

Vilevile msemaji wa ikulu aliwahakikishia wanannchi kuwa rahisi uhuru Kenyatta pamoja na familia yake hawajaambukizwa virusi. Kwa sasa idadi ya maambukizi nnchini imefikia 3,727 baada ya 133 kupatikana na virusi.

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE