Huku mechi ya Manchester united na Liverpool ikihairishwa hapo Jana kutonaka na mgomo was mashabiki kuingia uwanjani ,
Meneja wa West Ham David Moyes amesema timu yake itaingia sokoni kumsaka mshambuliaji katika dirisha lijalo la usajili, lakini hawatamuwania Muingereza Tammy Abraham mwenye umri wa miaka23 kama bei yake itasalia kuwa £45m
Hayo yakijiri Manchester City haitakua sehemu sahihi ya wachezaji iwapo hawatapata nafasi ya kucheza kila mmoja, hii ni kwa mujibu wa meneja wa City Pep Guardiola.
Kando na hayo Mkurugenzi wa ufundi wa AC Milan Paolp Maldini amesema klabu itasitisha mazungumzo na wachezaji kuhusu ongezeko la mkataba baada ya ripoti kuwa mlinda mlango wa Italia Gianluigi Donnarumma ambaye mkataba wake unamalizika msimu huu wa joto, kukabiliwa na mashabiki
By Samson Nyongesa