Coronavirus COVID-19 single dose small vials and multi dose in scientist hands concept. Research for new novel corona virus immunization drug.

Uhaba wa dosi za Astra-Zeneca ambazo hutumiwa katika chanjo ya Korona umeathiri shughuli za madaktari katika hosipitali ya Shianda iliyoko soko la Shianda eneobunge la Mumias Mashariki, kaunti ya Kakamega.Hosipitali hio imetumia dosi elfu moja mia tatu huku zikisalia dosi mia moja hamsini pekee kufikia Jana.

Daktari mkuu wa idara ya afya Emmanuel Malakwe katika afisi yake amesema dosi hio huenda ikaishi hivi karibuni kufuatia jinsi wananchi wamekubali kupata chanjo hio.Amesisitiza kuwa haoni hospitali hio ikipokea dosi nyingine mpaka serikali ilete dosi zingine.Ameiomba serikali juu kuharakisha kwa shughuli ya kuleta kwa dosi hizo. Aidha  amesema kuwa hakujaripotiwa hitilafu yoyote ya kiafya kwa wale walochanjwa.

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE