Wahudumu wa afya katika Kaunti ya Bungoma wamelemaza huduma za afya na kushiriki maandamano kushinikiza malipo ya miezi miwilli ambayo hawajalipwa.
Wakizungumza wakati wa maandamano hayo, wahudumu hao wanadai kushindwa kulipia kodi ya nyumba pamoja na gharama zingine kufuatia kukosa mishahara yao ya miezi miwilli.
Wahudumu hao sasa wanailaumu serikali ya Kaunti ya Bungoma kwa kukosa kutoa taarifa yoyote kuhusu swala hilo
By Hillary Karungani