Kinara wa polisi katika kaunti ndogo ya Luanda kaunti ya Vihiga Mohammed Mohamud amewataka wakaazi wa eneo hilo kuwa macho nyakati za usiku msimu huu wa mvua kwa kuwa wahalifu hutumia fursa hiyo kuvunja nyuma na kuibia wenyeji
Kwenye kikao na waandishi wa habari Mohamud amesema kuwa kama idara ya usalama wameweka mikakati kuona kuwa wanamaliza visa vya uhalifu katika eneo hilo na
Amesema kuwa licha ya kesi za wizi wa mifugo kupungua sasa katika eneo hilo, visa vya nyumba vimeongezeka na akawaonya wanavyovitekeleza kuwa chuma chao ki motoni
By Alovi Joseph