Uongozi wa chama cha KANU fresh kaunti ya Bungoma kupitia mwenyekiti wake Leonard Muyelele wataka serikali kuu kuweza kutafuta njia mbadala kutatua mgomo wa wahudumu ambao umedumu kwa mda sasa

Leonard Muyelele ambaye ni mwenyekiti wa KANU fresh kaunti ya Bungoma amesikitikia pakubwa wagonjwa wengi wanaotafuta huduma za afya na kukosa kuzipata huduma hizo kufuatia mgomo unaoendelea akitaka serikali kuu kuingilia kati na kuweza kutatua swala hilo

Aidha Mwenyekiti huyo ameeleza kwamba mchakato kuhusu BBI ni bora lakini kwa sasa unafaa kusitishwa ili wahudumu waweze kupata haki yao ili kuwawezesha wagonjwa kupata huduma za matibabu. 

Story By Hillary Karungani

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE