Tume ya uchaguzi ya IEBC imekuwa na kongamano na wagombea kutoka wadi ya huruma kaunti ya Uasin Gishu.
Akizungumza na waandishi wa habari Tallyin officer Terrence Maiyo amesihi kuwa lengo la mkutano huo ni kuweza kuwapa wagombea mafunzo kuhusu kanuni za maadili ya tume ya IEBC kabla ya tarehe 18 na 19 mwezi huu ambapo kutakuwa na uteuzi wa wanaogombea.(nomination)
Kwa mujibu wa naibu kaunti
kamishina wa eneo bunge la Turbo Mohammed Mwabudzo akiwa miongoni mwa waliokuwa kwenye mkutano huo amesema kuwa suala la kipeperushi kilichopatikana bado uchunguzi unaendelea, aidha, amesisitiza kuwa wanaogombea kiketi cha wadi hiyo wanafaa kufuata maadili waliofunzwa ama watakamata wale ambao hawatafuata sheria.
Story by Sharon Lukorito