Kaunti ya Uasin Gishu imewasilisha mchakato wa maridhiano wa BBİ bungeni  hivi leo na imeidhinisha baada ya kufanya majadiliano.

Kulingana na spika wa kaunti ya Uasin Gishu David Kiplagat amearifu kuwa Wajumbe 46 ambao walifika bungeni na kupiga kura lakini wajumbe 27 wameweza kupasisha mswuda wa BBİ na waliopiga wakiwa 19.

Hata hivyo wakilishi wa wadi ya Kipchamo eneo bunge la Kapseret Gilbert Tenai akiwa baadhi ya viongozi kutoka kaunti ya uasin Gishu amesihi kuwa wamekubali maridhiano wa BBİ ili kuunganisha na kueneza amani kwa wakazi wa eneo hilo hata hivyo wanangoja uchaguzi wa kura maoni ambao wananchi watatoa uamuzi kamili.

Story by Sharon Lukorito

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE