Wakazi wa eneo la Mulaha viungani mwa mji wa Bungoma wamelalamikia kutapakaa kwa maji taka yanayotoka katika Gereza la Bungoma, kilio chao kikikosa kusikilizwa kwa muda sasa.

Wamesema kwa kipindi cha zaidi ya miaka saba, maji taka hayo yamekuwa yakielekezwa eneo hilo bila kutibiwa.

Tumechoka na maji chafu hapa Mulaha. ni kwa mda sasa karibu miaka saba, maji chafu inatoka Bungoma prison na wameielekeza huku Mulaha hii maji inatuletea magojwa huku hatujui tufanye nini! serikali tafadhali mutusaidie kwa maana maisha yetu ni ya muhimu sana.

Kwa sasa wanataka maji taka hayo kuondolewa eneo hilo ili kuepusha athari zaidi kwa wakazi.

By Hillary Karungani

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE