Wakaazi kata ndogo ya Khaimba wilayani Mumias Mashariki wanalalama kuhusu baa moja inayoendeshwa karibu na shule ya Khaimba

Wakaazi hao wanasema kuwa hili limechangia kudorora kwa vuwango vya masomo mbali na kuongeza utovu wa maadili miongoni mwa watoto eneo hilo

“Tuko na shule mbili primary na secondary na club  iko apo na watu wengi hukunywa hapo na saa zingine wanatembea bila nguo, wanapigana na huo ni mfano mbaya sana kwa watoto.”

Wakaazi hao wanasema kuwa licha ya kuripoti kwa maafisa wa kaunti hamna hatua yoyote ilichukuliwa kufikia sasa

Story By James Nadwa

sadmin

By sadmin

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE