LUBAO FREQUENCY MODULATION LIMITED

Uniting Communities
  1. Listen to Lubao FM Live 102.2 FM

Live now:

Up next:

  1. Home
  2. Author Blogs

Author: sadmin

sadmin

Mauti Mto Mwela eneobunge la Malava

Mauti Mto Mwela eneobunge la Malava

Siku chache tu baada ya mtoto mwenye umri wa miaka kumi kutoweka nyumbani kwao katika hali isiyoeleweka katika kijiji cha Mwela eneo bunge la Malava kaunti ya Kakamega, hatimaye  mwili wake umepatikana ukielea kwenye mto…

Read More
Maandalizi ya uchaguzi Matungu

Maandalizi ya uchaguzi Matungu

Huku yakisalia masaa machache kabla ya wenyeji wa Matungu kupiga kura hapo Alhamisi tarehe nne,tume ya uchaguzi na mipaka IEBC kupitia kwa msimamizi wa uchaguzi kaunti ya Kakamega Grace Rono imesema kuwa mipango yote ya…

Read More
Hofu ya Wizi Wa Kura Eneo Bunge La Matungu

Hofu ya Wizi Wa Kura Eneo Bunge La Matungu

Huku ikisalia masaa machache tu kwenye uchaguzi mdogo wa kumchagua mbunge wa eneola Matungu,,tetezi kadhaa zinazidi kuibuka miongoni mwa viongozi kutoka mirengo mbalimbali ya kisiasa ikiwemo ule wa UDA na ANC Akizungumza na wanahabari mwaniaji…

Read More
Kilabu ya pombe kufunguliwa karibu na shule eneobunge la Mumias Mashariki

Kilabu ya pombe kufunguliwa karibu na shule eneobunge la Mumias Mashariki

Wakaazi kata ndogo ya Khaimba wilayani Mumias Mashariki wanalalama kuhusu baa moja inayoendeshwa karibu na shule ya Khaimba Wakaazi hao wanasema kuwa hili limechangia kudorora kwa vuwango vya masomo mbali na kuongeza utovu wa maadili…

Read More
Mwili wa mwanaume mmoja kupatikana ukiwa na kamba shingoni kwenye uwanja wa shule ya Eshiakhulo eneobunge la Mumias Mashariki

Mwili wa mwanaume mmoja kupatikana ukiwa na kamba shingoni kwenye uwanja wa shule ya Eshiakhulo eneobunge la Mumias Mashariki

Hofu imetanda katika mtaa wa Eshiakhulo eneobunge la Mumias Mashariki baada ya mwili wa mwanamme mmoja kupatikana ukiwa na kamba shingoni Kwenye uwanja wa shule ya upili ya Eshiakhulo Mwili huo ulopatikana Leo asubuhi ulikuwa…

Read More
Makali ya Korona yarejea eneo la Malava

Makali ya Korona yarejea eneo la Malava

Wakaazi wa eneo bunge la Malava kaunti ya Kakamega wametakiwa kuendelea kufata masharti yaliyotolewa na wizara ya afya ya kupigana na janga la korona la sivyo maisha yao imo hatarini. Akizungumza na idhaa hii afisini…

Read More
Wizi wa kimabavu kaunti ya Kakamega Eneo bunge la Malava eneo La Tande

Wizi wa kimabavu kaunti ya Kakamega Eneo bunge la Malava eneo La Tande

Genge la watu wanne waliyojihami kwa bunduki walimteka nyara mwanamme mwenye umri wa miaka 63 na kutoweka na takribani shilingi elfu mia saba pesa taslimu alizotoa kwenye benki moja mjini Kakamega. Kulingana na mzee Alphonce…

Read More
No political rally at Kabuchai Bungoma county

No political rally at Kabuchai Bungoma county

No political leader will be allowed to organise a political rally  at Kabuchai since the deadline has been rolled out. According to the press statement released by the Bungoma  County Commissioner”s Office,any act of organising any…

Read More
Kampeni eneo bunge la Matungu Kaunti ya Kakamega

Kampeni eneo bunge la Matungu Kaunti ya Kakamega

Huku zikiwa zimesalia siku mbili kuelekea katika uchaguzi mdogo  wa kiti cha ubunge cha Matungu utakaoandaliwa mnamo Machi nne viongozi kutoka mirengo tofautitofauti wameendeleza kampeni maeneo tofautitofauti ya Matungu. Akizunguza katika maeneo ya Mayoni katika…

Read More
10 Years Priestly Anniversary

10 Years Priestly Anniversary

Ten years of service can both be long and short. Long, basing on what has been achieved. Short, because of what is expected to be achieved. Priesthood is and can never be personal, rather for…

Read More