Lubao FM | 102.2 Hz

Month: July 2021

Mikusanyiko ya umaa yapigwa marufuku

Waziri wa afya Mutahi Kagwe ametangaza kuwa mikusanyiko yote ya umma imeahirishwa kufuatia kuongezeka kwa visa vya maambukizi ya COVID-19 humu nchini. Waziri Kagwe alisema kuwa muda wa kafyu kote nchini umeongezwa kwanzia saa nne usiku hadi saa kumi alfajiri kote nchini. Akihutubia taifa siku ya Ijumaa katika jumba la Harambee, Waziri huyo alidokeza kuwa …

Mikusanyiko ya umaa yapigwa marufuku Read More »

Jamii ya Shona kupata kibali cha utaifa Kenya

Tumekua tukiwasoma kwa vitabu vya historia kama jamii ambayo ina mizizi yake nchini afrika kusini, jamii ya Shona ni kabila linalozungumza kibantu chimbuko lake ikiwa ni nchi ya Zimbabwe.  Inaaminika kua jamii ya shona haina utaifa ata baada ya kukaa Kenya zaidi ya miaka 50 jambo lililomfanya waziri wa mambo ya ndani na uratibu wa serikali …

Jamii ya Shona kupata kibali cha utaifa Kenya Read More »

Masaibu ya wafanyibiashara wa Bodaboda eneo la Lubao Kaunti ya Kakamega

Wanabodaboda katika soko la  Lubao kata ya Isukha Mashariki eneo bunge la  Shinyalu kaunti ya Kakamega wameelezea baadfhi ya changamoto wanazopitia katika shughuli za kila siku .Wametaja na kusema hali halisi ilivyo katika kazi hii na kuiomba serikali kuingilia kati  na kutatua shida wanazopitia pia wametoa himizo kwa vijana kuweza kutia bidii maishani ili kuweza …

Masaibu ya wafanyibiashara wa Bodaboda eneo la Lubao Kaunti ya Kakamega Read More »

Utovu wa usalama eneo la Isongo Mumias Mashariki

Chifu wa kata ndogo ya Makunga wilayani Mumias Mashariki Willy Rapando amelalamikia ongezeko la wizi wa ngo’mbe eneo hilo siku  za hivi punde Akiongea kwenye hafla moja ya mazishi mtaa wa Ikoli eneobunge hilo Rapando amehoji kuwa wingi wa visa hivi hutokea nyakati za usiku na kutoa onyo kali kwa wahusika kuwa watakumbana na mkondo …

Utovu wa usalama eneo la Isongo Mumias Mashariki Read More »

Serikali ya kaunti ya Kakamega imejitolea kuboresha masomo kwenye kaunti hiyo

 Ni usemi wake mshauri wa serikali hiyo ya kaunti kwa maswala ya uongozi ali Musa Chibole Kwenye mahojiano ya kipekee na idhaa hii Chibole amesema kuwa serikali ya kaunti ya Kakamega huwalipia karo watoto werevu kutoka jamii zisizo jiweza kama njia mojawapo ya kufanikisha masomo yao Chibole hata hivyo amelaumu uhamisho wa walimu hadi sehemu …

Serikali ya kaunti ya Kakamega imejitolea kuboresha masomo kwenye kaunti hiyo Read More »

Wanasiasa eneo la magharibi wanamtaka rais kuwahusisha wanasiasa wote katika mipangilio ya ziara yake

Shinikizo zinazidi kutolewa kwa rais Uhuru Kenyatta kuwahusisha viongozi wote wa kisiasa  kotoka eneo la Magharibi katika kupanga ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo katika eneo hilo mapema mwezi ujao. Kulingana na mwanaharakati wa kisiasa katika wadi ya Mayoni eneo bunge la Matungu, Anerico Maero Junior, ingelikua vyema iwapo Rais Kenyatta angeandaa kikao na viongozi …

Wanasiasa eneo la magharibi wanamtaka rais kuwahusisha wanasiasa wote katika mipangilio ya ziara yake Read More »

Mrembo kabadilika kuwa mbuzi eneo bunge la Navakholo Kakamega

Mwanamme mmoja wa kadri ya miaka 27 kutoka kijiji cha Mayuge eneo bunge la Navakholo kaunti ya Kakamega amepagawa kwa njia tatanishi baada ya kudaiwa kuchumbia kidosho  kinachoaminika kuwa jini na kisha kubadilika kuwa mbuzi iliyo na pembe sawia chupa ya soda. Joel Namasaka anasema alikutana na msichana mrembo sehemu ya Soy eneo bunge la …

Mrembo kabadilika kuwa mbuzi eneo bunge la Navakholo Kakamega Read More »

Kumbukumbu za aliye kuwa mtangazaji mwenza katika kituo cha 102.2 Lubao FM

Siku 40 za ukumbusho wa aliyekuwa mtangazaji wa kituo hiki cha 102.2 Lubao FM Tom Cliff Makanga zimeandaliwa leo nyumbani kwao Muraka eneo bunge la Shinyalu kaunti ya Kakamega huku familia,ndugu,jamaa,marafiki,mashabiki na watangazaji wenza wakijumuika nyumbani kwao kusherehekea siku hii muhimu na kuifariji familia Watangazi wenza wakimtaja marehemu Tom Cliff Makanga kama mtangazaji shupavu,mwalimu mwema …

Kumbukumbu za aliye kuwa mtangazaji mwenza katika kituo cha 102.2 Lubao FM Read More »

Idadi ya Shule za Chekechea kaunti ya Kakamega kuongezwa

Wazazi kutoka wadi ya Marama Magharibi eneo bunge la Butere wakiongozwa na Edwin Anyanga wanaitaka serikali ya kaunti kuongeza idadi ya shule za chekechea na kuona kwamba zinakengwa kuwaepushia watoto mwendo mrefu ambao huweka maisha yao hatarini Akiongea katika shule ya msingi ya Ituti kwenye hafla ya kufuzu Kwa watoto wa chekechea Anyanga amesema Elimu …

Idadi ya Shule za Chekechea kaunti ya Kakamega kuongezwa Read More »

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE