Wanabodaboda katika soko la  Lubao kata ya Isukha Mashariki eneo bunge la  Shinyalu kaunti ya Kakamega wameelezea baadfhi ya changamoto wanazopitia katika shughuli za kila siku .Wametaja na kusema hali halisi ilivyo katika kazi hii na kuiomba serikali kuingilia kati  na kutatua shida wanazopitia pia wametoa himizo kwa vijana kuweza kutia bidii maishani ili kuweza kuyamudu katika maisha yao hapo mbeleni. 

 Kwa upande mwingine Simoni Lusasi ambaye ni mfanyabiashara katika soko la Lubao amesema kuwa tangu kuwepo kwa virusi vya homa ya covid 19 hali ya uchumi imekuwa duni na kusababisha hali ya maisha kuwa magumu.

By Maselyne Musweda

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE