Kiongozi wa chama cha ANC Musalia Mudavadi amekanusha kuwepo kwa mazungumzo ya aina yoyote kati ya walokuwa vyongozi wa NASA kuhusu kuufufua muungano huo

Kwenye mahojiano ya kipekee na mojawapo wa idhaa za humu nchini Mudavadi amesisitiza kuwa muungano huo wa NASA ulisambaratika na hayuko tayari kuufufua kwa vvyovyote vile

Mudavadi amamsuta kiongozi wa ODM Raila Odinga kwa kile alichokitaja kama mnafiki wa kisiasa na asiye na uwezo wa kuliongoza taifa hili

Naibu huyo wa rais wa zamamani amekanusha kuwa kibaraka wa kisiasa wa rais akisema kuwa yeye ni miongoni mwa wawanniaji urais akionyesha imani ya kuliongoza. Taifa hili baada ya mwaka wa 2022

Mudavadi vilevile ameikosoa serikali dhidi ya kulitumbukiza taifa hili kwe ye migogoro ya kiuchumi kupitia idadi ya juu ya madeni inayozidi kuchukiliwa kutoka mashirka mablimbali na mataifa ya nje

By James Nadwa

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE