Viongozi wa akina mama katika chama cha ANC eneo la Lurambi wanaitaka serikali kushirikiana na makundi ya mashinani kutoa msaada kwa watu wanaoishi na changamoto zikiwemo za ulemavu
Wakiongozwa na mwenyekiti wao Ruth Ombayo walipomtembelea msichana anayeishi na ulemavu eneo la Emasera Butsotso Mashariki wamesikitikia kutelekezwa kwa wale wenye changamoto
Familia na jamii walipongeza msaada huo kwa msichana ambaye hutembea kwa kuvuta tumbo yake
By Lindah Adhiambo