Serikali ya Kaunti ya Bungoma imeanzisha ujenzi wa kituo cha Kukusanya na kusambaza damu, kituo kitakachoigharimu Serikali hiyo shilingi milioni Kumi nukta nane.

Kwa mujibu wa Patrick Wandili ambaye ni afisa Mkuu katika wizara ya afya Kaunti hiyo, kituo hicho ni afueni kubwa kwa kuzingatia kuwa kitakuwa cha pekee eneo la Magharibi.

Ujenzi huo utakamilika katika kipindi cha miezi saba huku hospitali zote katika Kaunti ya Bungoma na Kaunti Jirani zikitarajiwa kunufaika jinsi anavyoeleza waziri wa afya Kaunti hiyo Dakt Anthony Walela.

All hospitals will require this blood whether government hospitals, mission hospitals, clinics etc. also neighboring counties will benefit from this as we see most the women who die while giving blood die because they lack enough blood this will benefit us all lets support the project

By Hillary Karungani

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE