Mwenyekiti wa baraza la kidini lililotathmini pendekezo la kufungua makanisa askofu Antony Muheria, ameelezea kuwa Maeneo yote ya kuabudu yatafunguliwa kuanzia Jumanne Juma lijalo.

Askofu anasemea muda huu utawapa wakuu wa madhehebu mbalimbali muda wa kuzingatia masharti ya kurejelea ibaada, kama alivyoagiza Rais Uhuru Kenyatta.  Askofu Muheria amewapa changamoto viongozi wote wa dini kuzingatia kikaimilifu mwongozo ambao umetolewa kuruhusu ibaada

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE