Machifu na manaibu wao katika kaunti ya Kakamega waliendeleza msako kwenye makanisa kuona kwamba agizo la rais la kukabili maambukizi ya corona linatekelezwa
Chifu wa Butsotso Mashariki eneo la Lurambi Justus Mukoshi amewataka maafisa wa kamati yakidini ya kukabili corona kuwajibika na kuona kwamba maagizo yanatekelezwa.