Mwakilishi wa Mca mtarajiwa Josephat Wakukha Panyako wa wadi ya Kabras kusini eneo bunge la malava Mark Soita Lutuvula anawaomba wakaazi wa eneo hilo kumpigia kura MCA mtarajiwa Josephat Wakukha mwaka 2022.
Akizungumuza akiwa eneo la Shamoni, anamtaja Mca mtarajiwa Kama kiongozi wa maendeleo.
Kuongezea kwa hayo anaeleza kuhusu baadhi ya miradi ambazo Josephat Panyako amefanya zikiwemo za kulima barabara na miradi mbalimbali…….
By Ernest Luvisia