Idara ya mahakama kaunti ya Kakamega imetoa tahadhari kwa wakazi wa kaunti hiyo dhidi ya matapeli ambao wamechipuka kuwatapeli wananchi nje ya mahakama hiyo  kuwa mawakili au wafanyikazi wa mahakama.

Ni wito wa hakimu mkaazi wa mahakama hiyo bi. Noelyne Akee, anayesema wengi wa wanachi wametapeliwa maelefu ya pesa na matapeli wanaojifanya kuwa mawakili na hata wafanyikazi wa mahakama akiwarahi wananchi kuwa waangalifu wanapotafuta huduma.

Aidha ametoa wito kwa wananchi kutafuta huduma za kutanzua kesi kutoka kwa machifu na manaibu wao badala ya kukimbilia mahakamani, kama njia moja ya kupunguza mirundiko za kesi.

By Richard Milimu

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE