Huku Fainali ya EUFA Europa  League ikisubiruwa kati ya Manchester United na Villarreal mida ya saa nne usiku kule Portugal, Borussia Dortmund wamemwambia winga wa England Jadon Sancho mwenye umri wa miaka 21, kuwa anaweza kuihama klabu hiyo katika katika dirisha la usajili la majira haya ya joto. 

Na kule Old Trafford Meneja wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer ameweka kipaumbele katika kusmsajili Sancho baada ya msimu huu kukamilika japo baadhi ya wachezaji wake wanaishawishi klabu hiyo kumsajili mkataba kiungo wa Aston Villa na England Jack Grealish wa umri wa miaka25.

Hayo yakijiri Real Madrid wako tayari kupokea ofa za timu zitakazotaka kuwasajili winga wa Wales Gareth Balena kiungo mshambuliaji wa Ubelgiji Eden Hazard

By Samson Nyongesa

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE